Our Blog Posts

Looking for a free online Bible study to lead you through God’s Word? Find one in the list below.
As Seventh-day Adventists, our promise is to help our friends understand the Bible to find freedom, healing and hope in Jesus. If you would like to experience this kind of relationship with Jesus and learn more about His plans for you, we’ve selected a variety of Bible studies to get you started.

If you've ever wondered "I require help making a good paper" it's not a problem. Writers of papers tend to peruse various literatures to get an idea of what's happening within their field. They also want to integrate https://thumbwind.com/2022/06/03/essay-writing-services/ their work within their field that they're in. Adding citations to a paper can be a lengthy and time-consuming procedure. It's good to know that there is assistance available!

Makambi ya Mtaa wa Tabata Kuanza mwezi Agosti

Kanisa la waadventista wasabato Mtaa wa Tabata, linataraji kuanza makambi yake tarehe 6/8/2022. Katika taarifa yake iliyotolewa na Katibu wa Mawasiliano wa Kanisa hilo Ndugu Daniel Mutani, imesema makambi ya mtaa huo yataendeshwa na Mchungaji Samwel Michael, Mkurugenzi wa Idara ya Vijana katika Konferensi ya Kusini mwa Tanzania (SEC) na kuhudumiwa na Kwaya ya Igoma,…

Read MoreLong right arrow

Pazia la Juma la Matendo ya Huruma lafunguliwa

Na Daniel Mutani Vijana takribani 50 wa Idara za Vijana toka Kanisa la waadventista wasabato mtaa wa Tabata, walikutanika jumapili hii na kufanya usafi katika zahanati ya Liwiti iliyoko Tabata jijini Dar es salaam, ikiwa ni ufunguzi wa pazia la juma la matendo ya huruma. Mbali na kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya zahanati hoyo,…

Read MoreLong right arrow